Ujambazi wa kutumia pikipiki walitikisa jiji la Dar
Ujambazi wa kutumia pikipiki unaendelea kulitikisa Jiji la Dar es Salaam, baada ya majambazi wanne waliokuwa na silaha kuvamia duka kubwa (supermarket) katika Barabara ya Mwaikibaki (zamani Old Bagamoyo) majira ya saa 10 jioni juzi na kupora pesa.
Alisema majambazi watatu, wawili wakiwa na silaha waliingia ndani huku mmoja wao akibaki nje kuangalia hali ya usalama . Alisema duka hilo liko karibu na maduka mengine likiwamo duka la
dawa, duka la nguo, duka la wakala wa pesa kwa njia ya simu, lakini
majambazi hayo yalionekana kulilenga duka hilo.
CHANZO:
NIPASHE
Comments
Post a Comment