Mramba, Yona kufa au kupona ndani ya mahakama ya Kisutu leo?


Hatma ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kusoma au kutokusoma hukumu ya kesi inayowakabili mawaziri waandamizi wa zamani, Basil Mramba (pichani), Daniel Yona na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hazina, Gray Mgonja wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 itajulikana leo.

Comments