Fafamu orodha ya Nchi 25 zinazoongoza kwa ajali barabarani, Afrika Mashariki imetajwa nchi moja


Moja kati ya vifaa hatari kutumia duniani ni vyombo vya usafiri, ndio maana mara zote tumekuwa tukishauriwa kutumia vifaa hivyo wakati ambapo tupo sawa, kwa maana mtu huna mawazo, hujalewa au kutumia kitu kingine chochote ambacho kinaweza kukuharibia umakini wakati wa kuendesha gari au kukatisha barabarani.


Nimekutana na list ya nchi 25 zinazoongoza kwa ajali za barabarani, kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda pekee ndio wametajwa kuwa katika list ya nchi zinazoongoza kwa ajali za magari barabarani, katika nchi 25 zilizotajwa Uganda imetajwa katika nafasi ya 11, hii ni kwa mujibu wa www.worldatlas.com

Comments